Bosi wa National Social Security Fund Kenya Tom Odongo afukuzwa kazi na kutakiwa kuachia ofisi mara moja.
Katika barua ya kuachishwa kazi Odongo ametakiwa kukabidhi ofisi kwa Corporation Secretary Hope Mwashumbe.
"Tafadhari andaa kila kilicho mali ya kampuni katika nafasi yako na ukabidhi ofisi kwa Ms. Hope Mwashumbe (the corporation Secretary)" Kazungu Kambi Labour Cabinet Secretary.
Tom Odongo aliteuliwa kushika nafasi ya NSSF managing trustee November mwaka jana na alitakiwa kuitumikia nafasi hiyo kwa miaka mitatu.