Nchi za Afrika kuongeza nguvu za vikosi vyake Jamuhuri Afrika ya Kati (Central Africa Republic)


Kutokana na mapigano yana endelea nchini humo, nchi takribani 15 zimependekeza kuwepo kwa serikali ya mpito ili kuwezesha kurejea kwa hali ya amani nchini humo.

Balaza hilo limeonyesha ukubali wa kuangalia uwezekano zaidi wa kuihimarisha Jamuhuri hiyo ya Afrika ya Kati.

Afrika ya Kati imekua katika machafuko baada ya waasi nchini humo kumuondoa madarakani raisi wa nchi hiyo Francois Bozize na kuushikilia mji mkuu Bangui mnamo 24/3.

Strange/Ajabu

Sports/michezo

Hotpost