Mahakama Japani yatupilia mbali maombi ya kufungwa kwa vinu vya uzalishaji wa Nyukilia

Mawakili wa upande wa wanaopinga kuendelea kuwepo kwa mitambo ya kuzalisha nguvu za nyukilia nchini humo walitaka kufungwa kabisa kwa mitambo ya Ohi iliyoko magharibi mwa Japani ambayo pia huwezesha nguvu za umeme za Kansai.

Maombi ya kuhitaji kufungwa kwa mitambo hiyo ya nguvu za nyukilia yalikuja baada ya kutokea kwa tukio kubwa ambalo halijawahi kutokea duniani kwa kipindi kirefu la kulipuka kwa vinu vya uzalishaji nyukilia vya Fukushima Nchini humo.

Mpango wa kutaka kufungwa kwa vinu vyote vya uzalishaji nguvu za kinyukilia ulitakiwa kua umekamilika kufikia May 2012 ili kuiacha nchi hiyo ikiwa bila nguvu za kiatomiki kwa mara ya kwanza tokea mwaka 1970.
 

Strange/Ajabu

Sports/michezo

Hotpost