PKK yakubaliana na Serikali ya Uturuki kusimamisha mapigano
Kundi la PKK limefikia makubaliano na Serikali ya Uturuki na kuamua
kusimamisha mapigano yaliyo dumu takribani mika 30.
Kundi la PKK limekua waipigana na serikari ya Uturuki katika vita ya msituni kwa taribani miaka 30 sasa.
Habari zinasema leo baada ya kundi hilo kufikia makubaliano na serikali wameamua kusitisha mapigano na pia kujiondoa.