Israel yapigwa kwa roketi Raisi Obama akiwa ziarani nchini humo


Israel yapigwa na rocketi ikiwa Raisi Obama wa Marekani akiwa ziarani nchini humo. Sauti ya mlio wa taadhari ulisikika maeneo ya kusini mwa mji wa Sderot. Inasemekana roketi moja ilanguka nyuma ya nyumba na nyingine kudondoke maeneo ya wazi. Hakuna tarifa za majeruhi, lakini roketi hizo inasemekana zimesabisha madhara kiasi. Inasemekana roketi hizo zimetupwa nchini Isrel kutoka mji wa Gaza.

Strange/Ajabu

Sports/michezo

Hotpost