Irani, Ayatollah Ali Khamenei aionya Israel juu ya kuiangamiza miji ya Tel Aviv na Haifa

Kiongozi wa mkuu wa kidini wa nchini Irani Ayatollah Ali Khamenei alionya siku ya jumatano, kwamba Jamuhuri hiyo ya Kiislamu ingeweza kuiangamiza miji ya Tel Aviv na Haifa ikiwa kama miundo mbinu ya kinyuklia ya nchi hiyo ingeweza kuwa chini ya mashambulizi toka kwa jamhuri hiyo ya Israel.  

Kiongozi huyo mkubwa wa kidini akiwa katika kusheherekea mwaka mpya wa Jamuhuri hiyo ya kislamu 


Khamenei aliongeza kwamba nchi hiyo imekua ikisema mara nyingi kua haijishughulishi na silaa za kinyuklia.


Strange/Ajabu

Sports/michezo

Hotpost