Barrick Gold Corp kuanza kulipa asilimia 20 kodi katika pato la mtaji (capital gain)

Mamlaka ya mapato Tanzania imesema itaihitaji kampuni ya madini Barrick Gold Corp. (ABX) Tanzania’s kulipia asilimia 20 ya mapato katika kila pato la mtaji (capital gain) inayotokana na mpango wake wa kuuza African Barrick Gold Plc (ABG) kwa kampuni ya China National Gold Group Corp.
Kamishina general wa Mamlaka ya Mapato Tanzania Harry Kitilya amenakiliwa akisema kwamba “kama mamlaka ya mapato tunafuatilia maendeleo kwa makini" alisema katika mahojiano Aug. 23 in Dar es Salaam.
Pia Kitilya aliongeza kwamba katika muda muafaka watahitaji African Barrick kuwasilisha kumbukumbu zote zinazohitajika zitakazowezesha kutathmini kiwango cha pato la mtaji(capital gain) ambalo linahitajika kulipwa.

Barrick Gold Corp, ambyo ni kapuni kubwa duniani kwa uzalishaji dhahabu ilisema kati ya tarehe 16 august kwamba iko katika mazungumzo na China National Gold Group Corp kuhusiana na asilimia 73.9 ya shea katika mgodi wa African Barrick. U.K. takeover and merger regulations restrict London-listed Barrick from making any comment, Andy Lloyd, the company’s spokesman, said in an e-mailed response to questions yesterday. Tanzania katika marekebisho ya sheria inayo husu mamlaka ya mapato imetaka kujuishwa kwa mauzo ya shea na mapato katika pato la mtaji, wakati kabla kodi ya mapato ilitozwa katika ardhi na nyumba tu kwa kiasi cha asilimia 10 kwa mkazi na 20 kwa asiye mkazi. 

Strange/Ajabu

Sports/michezo

Hotpost