Waziri Mambo ya Nje Bukinafaso adondoka aanguka katika mkutano na waandishi wa habari

 
Waziri wa Mamboya nje wa Burkinafaso aanguka na kupoteza fahamu akiwa katika mkutano na waandishi wa habari.  Tatizo hilo lilimkuta akiwa katika mkutano wa mahojiano ya moja kwa moja. Imesemekana ya kuwa alijisikia kuumwa na kisha kupata kizunguzungu na kisha kudondoka chini.


Strange/Ajabu

Sports/michezo

Hotpost