Soseji zisizo na ubora tatizo ndani ya soko la walaji Uganda

Maabala Uganda imegundua kuwepo kwa soseji zenye madhara zilizo jaa katika masoko ya nchi hiyo, imeripotiwa.
Soseji hizo zilizo aminika kutengenezwa kimakosa na chini ya kiwango kilicho hitajika zimesemekana kuhatarisha afya za watu kwa kuonekana na wadudu aina ya salmonella na E.coli ambao husababisha kuhara, kichwa kuuma, mafua na kutapika,
wakati samonela ina ufanano na taifodi (typhoid), Stephen Duyck ambaye ni mkuu katika kitengo cha ukataji nyama amekaririwa akisema alipokua akitembeza jopo la viongozi kutoka Uganda Manufacturer’s Association (UMA) katika kiwanda chake.

Duyck amesema wawekezaji nchini humo wamejitahidi kutengeneza bidhaa zilizo na ubora, lakini wamekua wakiathiriwa na washindani ambao huchanganya bidhaa hizo chini ya ubora bila kuzingatia viwango vya usalama na ubora vinavyohitajika.

Strange/Ajabu

Sports/michezo

Hotpost